Kabila la Babemba kutoka Afrika Ya Kusini,

Kabila la Babemba kutoka Afrika Ya Kusini, endapo mtu atafanya kosa la hatari, Wanachofanya humuweka mtu huyo katikati kisha wanamzunguka na kuanza kumsema kwa kumkumbushia mambo mema ambayo amewahi kufanya.
Kila mtu aliyepo hapo atasema lolote Jema analolifahamu kutoka kwa mtu huyo, Wakimaliza Sherehe hufanyika na Kisha mtu huyo hukaribishwa upya katika Jamii Yao.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages