Jifunze zaidi kuhusu pilipili

Kitu kinachofanya mpaka tunaona Pilipili Zinawasha ni kuwa, Pilipili zina Kemikali inayoitwa capsaicin ambayo huungana na mishipa ya fahamu na kuidanganya itume taarifa katika Ubongo kuwa mdomoni kunawasha, Ubongo Nao Unadanganyika Ambapo hurudisha taarifa ya kwenda kupooza ambapo ndio hali uzidi kuwa tata zaidi.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages