Baada Ya Kufanya Kazi Kwa Miaka 9 Mfululizo, Kugundua Nyota Mbalimbali 530,506, Sayari Nyingine 2662 nje Ya Mfumo wetu wa Jua, Kepler Space Telescope Imetangazwa kufikia Ukomo wake baada ya Kuhishiwa nishati ya kufanya iendelee kufanya kazi na Haiwezekani Kurekebishwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment