Filamu ya kwanza kabisa kutengenezwa duniani

Filamu ya kwanza kabisa kutengenezwa duniani ilikuwa ni Sallie Gardner at the Gallop, ilitengenezwa mwaka 1878, inaonesha tu jamaa akiwa amepanda farasi.
Filamu ya kwanza yenye hadithi ilikuwa ni The Story of Kelly Gang, ilitengenezwa mwaka 1906.
Nb: Televisheni ya kwanza ilitengenezwa mwaka 1925.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages