Mwaka 1964 akiwa miongoni mwa msafara wa Serikali ya Cuba, kwenye mkutano wa Umoja wa mataifa New York Marekani, aliweza kupata sifa ya "mwanamapinduzi halisi wa kukumbukwa" pale alipotoa hotuba ndefu katika ukumbi wa UN, akilaumu wazi ukimya wa umoja huo juu ya kilichokuwa kinaendelea Afrika Kusini ( ubaguzi wa rangi )
•
Alinukuliwa akisema:- "Wale wanaoua watoto wao na kuwabagua kila siku kwa sababu ya ngozi zao, wazungu wanawaua watu weusi hawakamatwi, serikali ya kikaburu inawalinda wauaji na mbaya zaidi inawaadhibu watu weusi kwa kuwa tu wanataka haki zao na utu wao, vipi watu hawa (makaburu) wakaitwa watetezi na walinzi wa amani?"
•
Miezi michache baada ya kutoa hotuba hiyo, Che alitoweka katika maisha ya kawaida "Public life" na hakuna aliyejua alikwenda wapi mpaka baadae ilipokuja gundulika kuwa Che alikuwa akipigana sambamba na Laurent Kabila huko Congo dhidi ya Wabelgiji na baadhi ya wapiganaji wa Kicuba waliokuwa Afrika
•
Vita ambayo ilishindikana baada ya Laurent Kabila kuanza kuanza kujihusisha na starehe na anasa, ndipo Che akakimbilia zake Tanzania na kukaa maeneo ya karibu na Ziwa Tanganyika na baadae Dar es salaam huku akiishi kwa kujificha.

No comments:
Post a Comment