Dreams laws

USicho kijua ni kwamba ,endapo wakati unaota ndoto,ukaota jino lako lime katika/vunjika,na utakapo amka ,uka ikumbuka ndoto hiyo,inakubidi uvunje/
kukata mbao au kitu chochote chenye asili ya mbao .mfano mti mkavu...kwasababu ukiota ndoto kama hiyo basi jua kuna mkosi ,sana sana kifo kitatokea ,iwe ndugu au jamaa..hii desturi ilikuwa inatumika sana wakati wa kale/zamani. pia una ambiwa ,siku zote saa/whatchs huwa haionekani katika ndoto,hamna mtu ambae ameota ame ona saa au kuvaa katika ndoto

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages