Ziwa Natron lililopo Ngorongoro lina chumvi nyingi sana inayosababisha kiwango cha alkali kuwa juu. Wanyama wanaogopa kukaribia eneo la ziwa hilo isipokuwa flamingo wadogo ambao wamelifanya eneo hilo kuwa sehemu yao ya kutagia. Kuna zaidi ya flamingo milioni 2.5 eneo hilo, hakuna mahali pengine duniani penye flamingo wadogo wengi kiasi hicho.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment