Venus Flytrap ni jamii ya mimea ambayo hula wadudu. Katika majani yake kuna vinywele ambavyo kama mdudu akigusa, ndani ya nusu sekunde mdudu huyo hufunikwa. Baada ya hapo hutoa kemikali ambayo huanza kummeng'enya mdudu huyo kwa takribani siku 10 baada ya hapo hujifungua tena kazi ikiwa imemalizika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment