Usicho kijua kwamba vladamir Putin

Usicho kijua kwamba vladamir Putin ,rais wa Uruss ana watoto wa wili,Maria Putina na Tekaterina Putina..lakini cha ajabu hawaja wai kuonekana katika picha,vyombo vya habari wala katika shughuli yeyote ..
pia wote wana tumia majina siyo yao shuleni na wanaishi sehemu ambayo haijulikan ni wap ata hivyo ye mwenyewe Putin hajawai kuwazungumzia wala kuongelea kitu chochote kuhusu watoto wake...

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages