Pheidippides, mwanajeshi na mpelekaji wa taarifa wa Ugiriki (530 - 490 KK), alikimbia kilometa 42 kutoka Marathon kulipokuwa na mapigano kati ya wagiriki na waajemi hadi mji mkuu, Athens ili kutoa taarifa za udhindi kwa mfalme. Alianguka na kufa baada ya kuingia ndani ya jumba la mfalme na kusema "Furahini, tumeshinda!". Kabla ya hapo alikuwa ameshakimbia zaidi ya kilometa 240 ndani ya siku mbili kwa ajili ya kusafirisha taarifa mbalimbali. Mashindano ya mbio za marathon hufanyika kumuenzi Pheidippides.
Unajua kwanini mbio za Marathon huwa ni Km 42?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment