Kisiwa cha poveglia kinapatikana italy, hujulikana ni kisiwa kilicho uwa watu wengi sana na 50% nusu ya ardhi yake ni maiti za binadamu/mafuvu..takriban maelfu ya miaka iliyo pita kipindi cha roman empire , kisiwa kilitumika kuhifadhi watu walio kuwa wakiumwa ugonjwa wa plague(tauni) ili kusudi kuzuia mambukizi nchi nzima.. Sasa baada ya muda kupita kipindi cha midieval era, ugonjwa wa plague uli ibuka tena kwa kasi ulaya nzima na karibia robo ya watu wali ambukizwa ugonjwa huo..ndipo poveglia ilipotumika tena kuhifadhi watu hao na kuwafanya wafe huko..ambapo maelfu ya watu walikufa na maiti haraka zika anza kuufunika kisiwa hicho cha poveglia..na walikuwa wanafanya hivyo ili kuokoa wengine wasife. sasa ubaya /makosa ya kaja apa , jamii za itali walianza kuwasafirisha watu ambao walionekana na dalili hata kidogo tu za ugonjwa huo kuwapeleka ili wakafe huko kisiwani na wengi wa watu hao walikuwa hawana mambukizi ya ugonjwa huo. mwaka 1922, mwanzoni mwa karne ya 20 kulijengwa mental hosipital huko povegilia ambapo watu wote walio kuwa wana matatizo ya akili walipelekwa huko..sasa doctor alie kuwa akitoa matibabu alianza kutumia mbinu hatari kwa wagonjwa ambapo alikuwa anatumia nyundo,drilli na shoka ambapo alikuwa akitumia kuwa toboa wagonjwa kitu ambacho kilikuwa kinaleta maumivu sana kwa wagonjwaa na wengi walikuwa wana kufa.. sasa inasemekana zile maiti za watu walio kufa bila hatia na wale wagonjwa wali geuka na kuwa mizimu/ghosts na kuanza kuuwa binadamu..moja wapo uyo docta ambae nae akilizake zolibadilika kisha akatupwa juu ya mnala mpaka kifo...toka hapo watu waliama sehemu ilo na ikawa kila mtu anae enda sehemu hiyo akigusa tu ardhi anakufa ..wapo ambao wanasema kuna watu wa ajabu..wengine usiku walikuwa wakisikia sauti za wale walio kufa wakilia ...kwa miaka ming italy wali likacha eneo hilo mpaka miaka ya ivi karibuni ambapo UNESCO ilitangaza eneo hilo kama urith wa dunia na kuruhusu watu kuzulu huko...lakin watu wengi wanaogopa kufika huko na walio fika huko wana sema hawatamani kwenda huko tena..
hujulikana kama the world most haunted place..
The world most haunted place
STORY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment