unambiwa zaidi ya watu 2000 duniani kwote wame tokewa na huyu mtu kwenye ndoto..ambapo anapo kutokea anatoa ishara ya kukupa onyo..
👉mtu wa kwanza kutokewa na huyu alikuwa ni mgonjwa mnamo mwaka 2006 huko new york malekan na baadae mtu mwingine nae alitokewa na huyu mtu ... 👉mpaka kufika mwaka 2015 alikuwa tayari kasha tokea watu 2000 ..mimi pia nimesha wai kumwota huyu ambapo nakumbuka nilikuwa na tembea kwenye majani lakin ghafla mbele yangu alitokea mtu mwenye sura hii nakunambia ni simame na niliposimama mbele yangu nilimwona nyoka akikatiza kwenye majan lakin punde nilishtuka lakin badae katika pita pita zangu nilikuta picha ya huyu mtu kwamba watu wakilalamika nao kutokewa na huyu mtu ndipo nami nilipo kumbuka.. 👉watafiti wamejaribu kufanya tafiti na ambapo wakaja na maswali meng kuhusu hii picha ambapo baadhi waliamin atakuwa ni mtu ambae anafanya hivyo kwa malengo fulani..huku baadhi ya dini wana sema itakuwa ni mungu mwenyew ambapo anawaonya watu, kupitia hiyo piacha ... 👉hii ishu ni ukweli kabisa ukitaka kuamin nenda ata youtube,pia google ka google the man appear in dreams at night utapata maelezo yote. ✨✨MWISHO✨✨✨

No comments:
Post a Comment