Alie Kuwa Mke Wa Mfalme Wa Thailand
CHULALONGKORN Mwaka 1880 Alipata Safari Kwenda Kutembea Katika Kijiji Cha
BANG PA Kwa Kutumia Mtumbwi Alikuwa Na Mtoto Wake Pamoja Na Walizi Wakati Wapo KatikaKati Ya Safari Chombo Walichokuwa Wanatumia Kilipata
MISUKOSUKO Kikazama Lakini
CHAKUSHANGAZA ,Walinzi Wake Walibaki Pembeni Na kumtazama Malkia Akifa Maji Bila Kumpa Msaada Wowote, Hiyo Ni Kwasababu MFALME Alishawahi Kusema Ni MARUFUKU Kwa Mtu Yeyote
KUMGUSA MALKIA, Adhabu Kali itatolewa
SUNANDA KUMARIRATANA
STORY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment