Alie Kuwa Mke Wa Mfalme Wa Thailand CHULALONGKORN Mwaka 1880 Alipata Safari Kwenda Kutembea Katika Kijiji Cha BANG PA Kwa Kutumia Mtumbwi Alikuwa Na Mtoto Wake Pamoja Na Walizi Wakati Wapo KatikaKati Ya Safari Chombo Walichokuwa Wanatumia Kilipata MISUKOSUKO Kikazama Lakini CHAKUSHANGAZA,Walinzi Wake Walibaki Pembeni Na kumtazama Malkia Akifa Maji Bila Kumpa Msaada Wowote, Hiyo Ni Kwasababu MFALME Alishawahi Kusema Ni MARUFUKU Kwa Mtu Yeyote KUMGUSA MALKIA, Adhabu Kali itatolewa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment