Story fupi ya kustaajabisha!!

Mnamo mwaka 1937, mjini Detroit ,katika jimbo la michigani ,nchini marekani, mtoto alidondoka kutoka dirishani ,gorofa ya 4 ,na kudakwa na mpita njia mmoja ,aliekuwa anaitwa Joseph fuglack, ambapo wote walipona japokuwa walipatwa na majeraha kidogo.
Mnamo mwaka mmoja mbele,1938 ,mda kama ule ule ,mtoto yule yule ali dondoka dirishani tena kutoka gorofa ya 4 na kudakwa na mpita njia yule yule aliekuwa akiitwa Joseph fuglack, ambapo wote walipona tena ,japokuwa walikuwa na majeraha kidogo...

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages