Steven Jay Russell, mmarekani aliyewahi kutoroka jela mara 4. Kuna kipindi alitoroka kisha akatuma cheti cha kifo gerezani akisema kuwa amekufa. Kwa sasa yupo gerezani akitumikia kifungo cha miaka 144. Atatoka mwaka 2140.
Mwaka 2009, filamu kuhusu maisha yake, I love you Phillip Morris, ilitoka.
Steven Jay Russell, mmarekani aliyewahi kutoroka jela mara 4.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment