Skulls And Bones (03)

SKULLS AND BONES 3
-
Wanachama wa kundi hili hupatikana kwa njia ya siri sana na wala huwezi ona matangazo au mtu akijitangaza kuwa yeye ni wmanachama wa kundi hili. -
Baadaye hupelekwa sehemu ya ibada yao kwa ajili ya kufanyiwa ibada ya kuapishwa kuwa atakuwa mwanachama mwaminifu mpaka kufa.
-
Wengi wamekuwa wakisikia habari za freemason na illuminati, kundi hili ni kubwa sana na lenye nguvu kubwa sana kiuchumi na kiutawala duniani Pia watu wa kundi hili Wana nguvu kubwa za ushawishi kwenye jamii zao na hata nje ya jamii zao. -
Umakini wao umewafanya waendelee kuwa kimya pasipo kujulikana sana kama yalivyo makundi mengine. 
Na bado limekuwa likihusika sana katika makundi mengine kwa nia ya kujitanua na kujipa nguvu.
Wanachama wa kundi hili Wana Tajwa Wanasiasa, wana Michezo mbali mbali, wasanii, Matajiri na watu maarufu na wenye Elimu za juu -
Mwisho 

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages