Hii ni sehemu KIMYA/TULIVU kuliko sehemu nyingine ye yote, panaitwa "Anechoic chamber" ni chumba ambacho kipo ndani ya makao makuu ya microsoft... Unambiwa uki ingia humu ndani huwezi kuskia sauti ya kitu chochote , ispokuwa utaskia Jinsi damu yako inavyo tiririka mwilini, utaskia mapigo ya moyo wako, utaskia sauti ya hewa yako pindi unapo pumua, na utaskia sauti ya viungo vingi ndani ya mwiliwako...Nisehemu ambayo ina ogopesha na mtu alie vunja record ya kukaa kwamda mrefu umo ni dakika 45,zaid ya hapo hakuna kila anae ingia ndani ya dakika hushindwa kuendelea kukaa umo......
Sehemu inayotisha zaidi"best magic House" or "Anechoic chamber"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment