Roy Cleveland Sullivan, mtu anayeshikilia rekodi ya kupigwa radi mara nyingi zaidi

Roy Cleveland Sullivan, mtu anayeshikilia rekodi
ya kupigwa radi mara nyingi zaidi bila kufa,
mara 7, alikufa kwa kujipiga risasi baada ya
ugomvi na mke wake kwa sababu za wivu wa mapenzi.
Mke wake alikuwa mdogo kwake kwa miaka 30.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages