Profesa mwenye Umri mdogo Zaidi!!

Alia Sabur anashikilia rekodi ya kuwa mtu aliyepata uprofesa katika umri mdogo zaidi.
Alipata uprofesa siku 3 kabla hajatimiza miaka 19 (miaka 18 na siku 362).
Ni mwanamahesabu.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages