Power Of Mind 3

Power Of Mind ina Unganishwa Na kitu kinacho Julikana Kama Psychic Ability (powers) Hicho Ndicho kinacho badilisha Mawazo kwa kutumia nguvu ya akili (fikra) na kuwa Uhalisia Jinsi Utakavyo weza Kuya dhibiti mawazo yako katika kutumia nguvu fulani Ndivyo itakavyo tokea. -
Lakini Kibaya Ni kwamba hizi nguvu tayari tumesha zipoteza wakati Wa kukua kwetu Na Ni wachache tu ambao bado wame saliwa na baadhi ya nguvu hizo. 
Tuziangalie baadhi ya hizo nguvu, -
Aura Reading - Huu Ni Uwezo wa kumsoma mtu au kumtambua mtu kama Ni mbaya au mzuri kwa kutumia nguvu hii Una uwezo wa kuyatambua mawazo ya mtu pia Una uwezo wa kuitambua sehemu au Pahali fulani kama Ni pabaya au la. -
Apportation - Huu Ni Uwezo Wa kutoweka Mbele ya macho ya Watu kwa Lugha Rahisi Ni kupotea mbele ya macho ya mtu, bila shaka Una elewa nguvu hii ina tumiwa zaidi na wakina nani, -
Astral projection or mental projection - Hii nguvu nimesha wahi kuizungumzia kwa kirefu sana, Huu Ni Uwezo wa kutoka nje ya mwili wako. -
Bilocation or Multilocation - Huu Ni Uwezo wa kuwa au kuonekana sehemu mbili kwa wakati Mmoja, Yaani saa 4 Upo Dar halafu saa 4 hiyo hiyo upo Dodoma. -
Clairaudience - Huu Ni Uwezo wa kupokea Taarifa kwa Njia ya mawazo Ina weza kuwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine au kutoka Ulimwengu mwingine, Katika hii Dunia Kuna watu Wana wasiliana kwa Njia ya mawazo sasa Kuna watu Wana uwezo wa kuyasikia haya mawazo, kwa mfano labla watu fulani Wana wasiliana njia ya mawazo ili Waje wakudhuru ghafla ana fika mtu Usiye Mfahamu ana kuambia uondoke sehemu ile yule mtu ana Uwezo wa kunasa Mawasiliano ya watu kwa njia ya mawazo.
-
Death Warning - Huu Ni Uwezo wa Kuhisi Kifo Ina Tokea Zaidi Kwa Wagonjwa, Kuna Baadhi ya watu waki muangalia tu mgonjwa Wana Tambua huyu mgonjwa hana siku nyingi Ana Poteza Maisha Na Wakati Mwingine Sio Kwa wagonjwa tu, Pia Death Warning mtu ana weza kuipata kwenye Ndoto Tuta Izungumzia maana nayo Ni Nguvu inayo jitegemea. -

Itaendelea -
Hizo Nguvu Kuna Zinazo Fundishika.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages