POWER OF MIND (02)

Kabla Hatuja endelea Tunatakiwa Kufahamu Powers ndicho kitu kikubwa kabisa duniani kuliko kitu kingine chochote. 
Na kwa kawaida Nguvu (power) huwa haionekani lakini kinacho onekana Ni matokeo yake. -
God is Power (Mungu ni nguvu) hakuna kitu chochote kinacho onekana kwa macho kumhusu Mungu, lakini ni Nguvu zake tuu na mambo Anayo yafanya Mungu ndiyo yanayo onekana.
-
Chochote mtu utakachokiona kuhusu Mungu iwe ni kupitia Roho Mtakatifu au kupitia Malaika wake, hivyo vyote Ni uthibitisho wa Nguvu Ya Mungu kwa sababu Mungu Ni roho inayo Ongoza watu kufanya mambo mazuri, -
Shetani pia ni nguvu inayo Ongoza watu kufanya mambo mabaya na maovu, Ukisha sikia tu shetani picha inayo kujia Ni kiumbe fulani kibaya chenye mapembe au chenye kutisha yale maumbo yote ya shetani yanayo elezewa kuonekana mara hivi mara vile Ni Nguvu Ya kujionyesha katika umbo lolote, lakini sio umbo sahihi la shetani. -
Hivyo shetani anaweza kujionyesha katika umbo lolote na kufanya jambo lolote hata jema kama kuponyesha kimuijiza na kusaidia watu ili kuwa aminisha watu kuwa ni kazi ya Mungu.
-
Nguvu ndio kila kitu katika maisha . Watu wote wenye nguvu ni powers, spiritual powers kwa watu wa imani, political powers kwa wanasiasa, Economical powers kwa matajiri, Social powers kwa wenye vipaji mbalimbali. 
Kila kitu Ni Nguvu na mafanikio yoyote katika kila kitu ni jinsi watu wanavyo weza kuzitumia na ku control hizi powers.
-
Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni power ambayo ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo zikiwa zimejificha bila kujijua kuwa wanazo hizo nguvu na nyingine zina potea kadri Unavyo kuwa. -
Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya,.... wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao. -
Sehemu Inayo Fuata Nita eleza hizo Nguvu na Jinsi zinavyo Tumika. -
Itaendelea .

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages