Picha ya Kusisimua ya Charles weber !

Hii picha ni ya msanii wa kidutch Charles weber akiwa pamoja na mke wake Emily startford ..ukiangalia inaonekana ni picha ya kawaida tu ..lakin usichokijua ni kwamba ,picha hii imechorwa ambapo huyo mwanamke alikuwa tayari amesha fariki/kufa masaa manne kabla..
Katika muda ambao mwanamke alikufa ,charles aligundua kuwa hakuwa napicha yeyote aliokuwa pamoja na mke wake..ndipo alipo amua kuchukua maiti ya mke wake na kuchorwa hiyo picha ili iwe kumbukumbu ya mwisho kwa mke wake na ukiangalia vizuri utagundua mikononi mwa uyo mwanamke ameshikiriwa na vitu ili kumuweka katika pozi..

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages