Peter the Great

Peter the Great, mtawala wa Urusi (1682-1725) alimkata kichwa mwanaume aliyekuwa anatembea na mke wake (malkia) kisha kichwa hicho akakiweka kwenye pombe ili kisioze na kikawekwa chumbani kwa malkia.
Chanzo:Wikipedia/Willem Mons

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages