PART 2;NYOTA YAKO
👉kama nilivyo ongelea katika makala iliyo pita kuhusu nyota. ✨MAMBO YANAYO CHANGIA KUHARIBU NYOTA YAKO. 👉UCHAWI; hii ni moja kati ya adui mkubwa wa nyota, kwasababu uchawi unaweza kuharibu nyota yako au nyota ya mwingine..kwanza kabisa uchawi ni upagani ..ambapo MUNGU hajaruhusu mwanadamu kufanya hivyo kwasababu uchawi ni moja kati ya kutaka kujifananisha na mungu..
👉sasa ni vp uchawi unaharibu ndoto kwanza jua kabisa mtu unapokuwa katika hali ya uchawi ni kwamba unakuwa katika ulimwengu sio wa kawaida kwasababu unakuwa katika spiritual world ambao MUNGU hakumpa binadamu mamlaka ya kuwa na uwezo huwo..na unapokuwa katika ulimwengu huo unakuwa na nguvu sio ya kawaida na unakuwa na uwezo wa kuviona vingi vinavyo onekana na visivyo onekana kama the underworld..pia mchawi ana kuwa na uwezo wa kuona nyota yako akiwa katika ulimwengu huo sasa akisha iyona anauwezo aka ishika au kukuharibia..katika future yako ambayo MUNGU amekutengenezea ,kuna vipengele ambavyo wew unakuwa unapitia ili kutimiza iyo future yako kupitia nyota yako...sasa mchawi akisha jua hivyo vipengele anacho kifanya ni kwamba anaitembelea hiyo nyota yako kwa kufanya yale ambayo wew inakubidi uya fanye na akisha kutangulia kuyafanya hayo anakuwa tayari kasha kuzibia njia wewe ,hivyo atakama wew ukayafanya yale inakuwa ni kazibure kwasababu mwingine anakuwa tayari kasha fanya na sikuzote "First is Prior" yan cha kwanza ni cha kwanza tu..sasa hapo utakuta kabisa unafanya kitu ambacho moyo wako unapenda na unaona kabisa ukikifanya utafanikiwa lakini unapokuja kukifanya kile kitu hupati mafanikio kumbe mafanikio yako yame chukuliwa na mtu fulani...
👉Nakitu usicho kijua ni kwamba NYOTA zina fanana ila MUNGU ameweka kitu kidogo sana ndani ya Kila nyota ambacho kinafanya nyota ziwe tofauti..Mfano..ndomana unakuta wenye nyota ya usanii ni wengi ila kunakakitu kadogo kanako tofautisha wasanii wote ndomana unakuta wote ni wasanii lakin future(maisha kiujumla haya fanan) ambacho hicho kitu MUNGU ndicho amekificha ndan yako sasa hiki kitu mchawi anapo kijua ndipo anapokuwa na uwezo wa kunyan'ganya au kuharibu NYOTA yako ✨WAGANGA PIA WANACHANGIA KUHARIBU NYOTA ...........ITAENDELEA......

No comments:
Post a Comment