,wahusika wengine ambao wapo ndani ya njama hiyo...Ni mashirika makubwa ya intelijensia/usalama na ulinzi(FBI,CIA,Mossad n.k),vikundi vingi vya kigaidi(Al QAEDA,ISLAMIC STATE,ISLAMIC JIHAD n.k),na mashirika makubwa ya Films/movies(Marvel studio,20th Century Fox,Walt disney,Universal studio,n.k), Wasanii wakubwa(wanamuziki,waigizaji n.k) na mashirika mengi makubwa..Hawa wote wana fanya kazi ndani ya njama hiyo ya kusimika utawala mmoja wa dunia ,(NEW WORD ORDER). 👉MAMBO MUHIMU YANAYO FANYIKA KUELEKEA KATIKA NEW WORLD ORDER(NWO)/UTAWALA MMOJA WA DUNIA KUPITIA WASHIRIKA WA MPANGO HUO ,NDANI YA ILLUMINAT. ✨Kupunguza idadi ya watu,haswa kuwa uwa wale ambao wapo kinyume na njama zao ,ili kubaki na wale ambao wapo katika mlengwa wao,ili waweze kuwa Control..hili jambo limekuwa likifanyika kwa miaka mingi,na hii njama inatekelezwa na washirika wake ,kama vile NASA,hawa wana punguza idadi ya watu kupitia ,mtambo mkubwa wa HAARP(high freequency active auroral research program) ambao unadaiwa kutengeneza matetemeko na tsunami kubwa ambazo zimetokea duniani na kuua watu wengi.
pia vikundi vya kigaidi kama Al qaeda na ISS, sisi tunajua hivi vikundi vinapinga serikali ,kumbe nyuma ya pazia sio,hawa wote wana fanya kazi pamoja katika kupunguza idadi ya watu.wana wambia hivi vikundi vianzishe vita sehemufulani kama kuteka raia,ili serikali ijifanye kuingilia kati na kuanzisha vita ,na katika hiyo vita, mataifa makubwa yenye silaha yataingilia kati na kinachotokea sasa ni matumizi ya silaha kubwa ,na katika hiyo vita sasa wanao kufa ni raia wengi wasio na hatia kuliko wao,na wakisha fanya hivi tayari lengo lao la kupunguza idadi ya watu linakuwa limetimia.
pia wana punguza idadi ya watu kupitia ,Magonjwa..kuna magonjwa kama UKIMWI Na EBOLA, haya magonjwa yametengenezwa na wao ,ili kusudi kutimiza njama zao za kupunguza idadi ya watu duniani.
pia kupitia vita kama vita ya kwanza na ya pili ya dunia,uchafuzi wa hali ya hewa,ajari kupitia vyombo vyao,kama juzi tu apa kuna ndege imedondoka indonesia,pia tunakumbuka ata apa kwetu ile ajari ya MV nyerere n.k. .................ITAENDELEA................

No comments:
Post a Comment