Hii hujulikana kama ni mbinu ya utawala mpya, wa Dunia, ambapo dunia itaendeshwa kwa mfumo mmoja katika nyanja zote ,kama vile, Dini,Elimu,Afya,Uchumi, Ulinzi,uongozi na maisha kwa ujumla..Neno New world Order(NWO),hili lilikuwa na mashiko sana miaka ya 1935,ambapo nchi ya marekani ilipata uhuru wake na kuwa nchi inayo jitegemea ,hii ilitokea baada ya marekani ,kutumia mchoro wa pembe tatu,wenye jicho ,marufu kama "Novous Ordo Seclorum" kwenye noti ya Dollar, wakiwa na maana ya "New world Ages" ,ambapo huo mchoro wa Novous Ordo Seclorum, ulikuwa unadaiwa kutumiwa kama alama na kundi la ILLUMINAT.
Tunapo ongelea kuhusu New world Order, lazima tuwa husishe Illuminat ambao wao ,inasemekana ndio ,wahusika wa kuu na ndio wapangaji wa mipango yote inayo husu New world Order(NWO). Illuminat, hujulikana kama ni kundi la watu marufu, wenye nguvu katika dunia,ambao wana thibiti masuala yote ya kiutawala ili kuipeleka dunia katika mfumo mmoja, wa kiutawala marufu kama "NEW WORLD ORDER"..Hili kundi la illuminat lilianzishwa miaka ya 1776, huko ujeruman, na kuenea kwa kasi,enzi za kuelimika na kustaarabika kwa Ulaya miaka ya 1815, ambapo lengo la kuanzishwa kwa kundi hili lilikuwa ni kupinga na kuharibu mifumo yote ya kidini haswa dini ya katoriki, na kutaka dunia iongozwe katika utawala mmoja ambao utakuwa na dini moja ,watakayo unda wao ambayo ni ya kuabudu shetani.
Sasa ili kutimiza lengo lao ,Illuminat walikuja na mpango , walio ubatiza "NEW WORLD ORDER",ambao ndio tunao uongelea..New word Order(NWO),huu mpango ,unahusisha ,mambo mengi sana ambayo yapo ndani ya njama hizo ili kutimizwa kwa Utawala huo..Ikiwemo ,international bankers,Oil baron,mashirika ya Dawa(phamarceutical),NASA,Umoja wa mataifa na mashirika yake kama,(WHO),NATO,ROYAL FAMILY ( Rothchild na Rockfeller),Freemason,AREA 51,GENIVER AIRPORT ,Nchi zote zilizopo katika G7/G8,viongozi wa nchi mbalimbali ,wote wana fanya kazi chini ya njama hiyo na kiongozi yeyote atakae enda kinyume na mpango huo,ana uwawa . mfano John kennedy(marekan),Ali bhutto(Pakistan) na Aldo moro(Italy). ........USIKOSE ITAENDELEA......

No comments:
Post a Comment