Nini Maana ya Scaphism?

Scaphism ni aina ya utesaji uliokuwa unafanywa kwa wahalifu zamani huko Ugiriki. Mtu anapakwa asali na maziwa kwenye matundu yote ya mwili kisha anawekewa sisimizi.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages