Nini maana ya neno "MV"

MV katika Lugha Ya Usafirishaji Wa Majini Kirefu Chake Ni 'Motor Vessel' . Ni Jina maalumu Kwa Vyombo Vya Majini Ambavyo Vinatumia Injini Ambazo Zimeundwa Kwa Mfumo Wa Ndani Katika Chombo Na Kwa Asilimia Kubwa Kazi Ya chombo Hicho Huwa Ni Kubeba Mizigo Au Kusafirisha Abiria (Watu).

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages