NIMROD na Mnara wa Babeli!!

NIMROD
Alikuwa Mfalme wa Babeli huku akiwa na nia ya kuwa sawa na Mungu,Alikua na Lengo la kulipiza kisasi kwa Mungu, Ali kuwa na Nguvu za Ajabu sana na Miujiza Mara Baada ya kuingiwa na Roho za malaika walio tupwa, aliibaa Vazi la Adam lilimpa Nguvu na Miujiza. -
Ali ongoza kujenga mnala wa Babeli ili kumfikia Mwenyezi Mungu, Ali kuwa ana abudiwa kama Mungu. -
Mfanano -
Nimrod & Semiramis = Tamuz
Yusuph & Mariamu = Yesu -
Yesu Ali zaliwa kwa uwezo wa Roho Mtakatifu, Joseph na Mariamu hawa kukutana kimwili.
-
Tamuz Ali zaliwa kwa Miujiza Nimrod haku kutana kimwili na Semiramis, Wakati Tamuz Ana zaliwa Nimrod alikuwa Tayari amesha kufa, Semiramis alienda kumtembelea Nimrod Mawinguni ali rudi akiwa mja mzito na kudai ame Pata mimba kimiujiza. -
Tamuz Alikua ana Tenda Miujiza,
Yesu ali tenda Miujiza, -
Tamuz ali kufa kwa ajili ya watu wake, alienda kuwa okoa watu wake wali vamiwa na nguruwe pori, Ali fanikiwa kuwa okoa kisha yeye ali uawa na Yule nguruwe pori. -
Yesu ali kufa kwa ajili ya watu kuwa okoa katika dhambi. -
Walitengeneza utatu wao ambao ulikuwa ni wa Nimrod, Semiramis na Tamuz, semiramis akajulikana kama malkia wa mbingu [queen of heaven]
-
Utatu Mtakatifu Wa MUNGU (Baba, Mwana na Roho mtakatifu) -
Hayo Ni baadhi tu ya waliyo fanywa na Nimrod yakaja kutokea wakati wa Yesu. -
Ina sadikika Luficer alikua ana fahamu ujio wa Yesu ndio maana ali tengeneza Matukio ambayo yata fanana na atakayo fika kufanya Yesu ili kuwa changanya na kuharibu imani za watu. -
Lakini vitabu vilivyo kuwa na hadithi hizo vili kataliwa kuwekwa kwenye Biblia Kwa manufaa ya watu. -
Moja kati ya kitu kilicho Nishangaza Ni kuona Waganga wa kienyeji Wana tumia vile vitabu vilivyo kataliwa kuingizwa kwenye Bible kwaajili ya kazi zao Kwa mfano Book of Enoch, -
Kuna vitabu vingi sana vina mambo mazito sio Miongoni mwa vitabu vya kwenye Bible, Ukienda Google andika Apocryphal books Uta Pata sababu kwanini havikuwekwa....... Dunia ina Maajabu sana.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages