Edward Mordrake alizaliwa na uso mwingine kisogoni. Uso huo ulikuwa na kila kitu lakini ulikuwa hauwezi kula wala kupumua. Ulikuwa unatabasamu pale uso wa mbele ukiwa na huzuni na unachukia kama uso wa mbele una furaha.
Mordrake alikuwa akiwaomba madaktari wautoe uso huo kwa sababu ulikuwa ukimnong'oneza vitu ambavyo vinafaa kuzumgumzwa kuzimu tu. Alijiua akiwa na miaka 23.
Mtu mwenye Sura Mbili!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment