Rabiah Damji, mmarekani mwenye asili ya Tanzania ni mmojawapo wa wataalamu waliotengeneza app ya 'Twitter Lite'. Twitter lite ni app ya Twitter ambayo inatumia data kidogo zaidi na inachukua nafasi kidogo kwenye simu.
Mmarekani mwenye Asili ya Tanzania mwenye ujuzi mkubwa wa Teknolojia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment