Matukio yanayojirudia "DEJA VU"

DEJA VU"
Ni ile hali ya mtu kuishi maisha ya sasa kabla au ni hile hali ya mtu kuhisi kuwa mazingira ya sasa umeshawai kuyapitia katika kipindi fulani kilichopita lakini unakuwa hukumbuki ni lini..Watafiti wamejaribu kufanya tafiti ili kujua labda hali hii inahusiana na kitufulani ambapo wengine huamini kuwa hali hii ni physiologucal disorder inayo husiana na epilepsy(kifafa), lakin ukiangalia kiundani unakuta hakuna mahusiano kati ya vitu hivi viwili. wapo ambao huamini Deja vu husababishwa na ndoto, ambapo pale mtu unapokuwa unaota ndoto upo katika mazingira au maisha ambayo hujawai kuyaishi au kifika sehemu ambayo hujawai kufika lakini punde ile ndoto unakuwa una isahau lakini kipindi hicho ubongo unakuwa tayari umesha hifadhi tukio hilo ,sasa ikitokea siku katika maisha halisi ukapitia maisha yanayo fanana naile ndoto,au kufanya tukio linalofanana na ile ndoto ubongo unakukumbusha na kukufanya wew uhisi kuwa mbona maisha haya ,kitu hiki au sehemu hii nimesha wahi kuishi apo kabla. wengine huamini Deja vu inahusiana na urithi/familia au hasili ya ukoo fulani..na kuhusisha kuwa ni anxiety time, ambapo wana amini kuwa "some lives are linked across a time o experiencing feel like a life time ago" yani wana amini kuna badhi ya watu maisha yao yana uhusiano na maisha fulani ya lio pita na hii imekuwa ikihusishwa sana na undugu..mfano katika vizazi vyenu..katika koo zenu kuna ndugu yako ambae amesha wai kuya hishi maisha haya unayo ishi sasa au kufanya tukio hilo unalo lifanya sasa awe babu au bibi katika nyakati tofauti hivyo sasa wana amini katika ule mzunguko wadamu kadri ya vizazi na vizazi yupo mtu ambae ata zaliwa na kuwa na tabia sawa na mmoja alie pita katika ukoo wenu apo kabla hivyo kutokana na ile nguvu ya damu/urithi kuna matukio wew utayafanya au kuya ishi ambayo sawa na yaliyo fanywa na yule wa mwanzo hivyo kukufanya wew uhisi au zani kuwa maisha hayo umesha wai kuya ishi zamani.
wengine husisha Deja vu na nyakati za utabiri/prophetic ishu...

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages