Martin Pistorious.......

huyu ana itwa Martin Pistorious, raia wa Africa kusini,katika mji wa johanesburg. 👉Mnamo mwaka 1988,Martini ali ugua kwa ugonjwa wa T.B na Crypococcal meningitis,baada ya kupelekwa hospitali , hali yake ili badilika ghafla na kupoteza fahamu, kwa miaka 12,hakuweza kufanya chochote ,kwa mda huo na alikuwa ana saidiwa kupumua kwa mashine... 👉baada ya miaka 12 , kupita Martin ali zinduka ghafla , na cha ajabu aliwasimulia yote waliokuwa wana yaongea kumuhusu yeye ,kwa mda wote aliopoteza fahamu....ikiwemo maneno ya mama ake ,ambapo ali mwambia dactari .." Anatamani ,martini afe tu,kwasababu hakuna matumaini ya kupona , na kama ina wezekana ali muomba dactari akatishe uhai wa martini,lakin dactari alikataa kwasababu hakuna sheria hiyo nchini apo isipo kuwa kwa mapendekezo ya mgonjwa mwenyewe.." ,na mengine mengi ali wasimulia walio yaongea kipindi yeye alipo kuwa amepoteza fahamu..

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages