Machache kuhusu Wrigley's Company

Wrigley's Company wakati inaanzishwa ilikua ni Kampuni maalumu kwaajili ya kuuza Sabuni, ambapo katika sabuni zao walikua wakiweka Na 'Baking Powder' kama Zawadi. Kilichotokea 'Baking Powder' ikapendwa zaidi kuliko sabuni, Wakabadirisha Wakaanza Kuuza 'Baking Powder' zawadi ikawa ni Bigijii,Napo Pia Bigijii zikapendwa zaidi kuliko Baking Powder. Wakaacha Wakaanza Kujihusisha Na Bigijii Mpaka Sasa.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages