neno "CLONING" lina maanisha ni kwamba kile kitendo cha kutengeneza kiumbe kipya kupitia materio ya kiumbe kingine ili kutafuta ufanano sawa katika mahabara..clone ipo ya aina nyingi kama mimea na wanyama.. HUMAN CLONING; ni kitendo cha kuchukua cell,tishu na jenis(DNA) ya mtu fulani na kutengeneza mtu mwingine anae fanana na yule wa mwanzo kwa kila kitu kupitia mahabara..human clone ili anza miaka ya 1960..lakini badae umoja wa mataifa ulikataza kitendo hicho kibaya baada ya mwaka 1967 CIA kuaibishwa na bunge lamarekani kwa kufanya majaribio ya clone ya binadamu kwenye project ya mk-ultra..ndipo mataifa mengine yote yalipo acha.
lakini kuna vikundi kama illuminant/ freemasoni wao waliendelea kufanya kitendo hicho kwasiri ili kutimiza lengo lao lakuja kuitawala dunia katika new word order..ikawa wanafanya hivi,endapo akitokea mtu marufu mwenye ushawishi mkubwa dunia ambae anapingana nao basi ilikuwa ana uwawa na kuchukua cells na gene zake ili kutengeneza mtu mwingine(copy) anae fanana na yule walie muuwa na huyu mpya ataendelea kufanya yale aliye yafanya yule lakini akiwa chini ya mamlaka yao hao freemason,au mfano mtu wao muhimu akitaka kufa wana mfanyia clone ili aendelee kuishi.. katika hii ishu nikwamba wapo watu maarufu ikiwemo wanamuziki,wanasiasa na waigizaji ambao tuna wajua lakini sio halisi yani namaanisha walisha kufa kitambo lakini waka weka siri juu ya vifo vyao na kutengeneza copy ya mtu mwingine kama yeye ambae ana ishi mpaka sasa..
Machache Kuhusu Kutengeneza Mfano wa Binaadamu(Human Cloning)
STORY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment