Machache kuhusu Christopher Columbus

Christopher Columbus aligundua bara la Amerika kwa bahati mbaya tu wakati anatafuta njia ya mkato kutoka Hispania kwenda India.

Baadhi ya Dondoo za kihistoria zinasema
Christopher Columbus alikuwa siyo mzunguwa kwanza kufika Amerika.
Leif Eriksson ndiyo mzungu wa kwanza kufika bara la Amerika akitokea ulaya. Leif alifika Amerika katika miaka ya 900, zaidi ya miaka 500 kabla ya Christopher Columbus.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages