Nchini Ufilipino, kuna Kisiwa ambacho kina Ziwa Ndani yake, ambalo hilo ziwa nalo lina Kisiwa ndani yake ambacho Kisiwa nacho Kina Ziwa ndani yake, Nalo hilo ziwa Lina Kisiwa Kidogo Pia Ndani Yake.
Wanaita Taal Lake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment