LAPPEL DU VIDE/the call of the void".


hujulikana kama ni mawazo ya hatari ,ambayo hu mpata mtu pale anapo kuwa katika sehemu za hatari...hujulikana kama ni mawazo mabaya na asilimia 86% ya watu duniani kwote hupatwa na fikra hizi hususani wakati mtu unapokuwa pekeako..mfano wa "lappel du vide" pale unapokuwa unatembesha labda gari au pikipiki alafu mbele yako unamuona mtu au watu waki katiza zeni ghafla yana kujia mawazo ya kuwa gonga ,pia mtu unapokuwa umesimama labda kwenye mnala au mlima unangalia chini zen ghafla ya nakujia mawazo ya kuruka pale ,au mtu unakuwa peke ako labda chumban kwako zen ghafla yana kujia mawazo ya kujinyonga..n.k lakin kwa wakati huo ayo mawazo yana kujia katika hali ambayo wew huwez kuyafanya kwasababu yana kuwa ni ya utani akilini mwako hivyo unapuuza... sasa ubaya unakuja hapa ,punde unapokuwa unafikiria mawazo hayo, mfano upo juu ya mnala unafikiria kujirusha lakin ukapuuza kwasababu unajua ukifanya hivyo unakufa ,pale ubongo wako unakuwa tayari umesha tunza kumbukumbu kama wew ilo tukio unakuwa umesha lifanya..na sikuzote ,binadamu tumeumbwa kwa miili miwili ambayo ni mwili wa kinafsi/roho na mwili wakawaida/physical body na katika miili hii miwili sikuzote mwili wa kiroho/nafsi huwa haudanganyi ata sikumoja ila mwili wa kawaida huwa unadanganya..mfano utakuta umeiba na ukaja kuluzwa wew umeiba ,utasema sija iba lakini kwenye mwili wako wa nafsi utakuwa unajua kabisa nimeiba sasa katika hii miil miwil na inapokuwa tayar hii "lappel du vide" mfano ya kujilusha mnalan imekutokea na ubongo tayri umesha weka kumbukumbu na wew ukalipuza hilo kwasababu huwez kufanya ..ubaya unakuja ikitokea siku uka kwazika na ukawa maeneo yoyote yale ya hatar kama mnalan au juu ya shimo ,kwa hasira zako yaki kujia tu yale mawazo ya kujilusha"lappel duvide" kwa %89 lazima utajirusha tu ,kwasababu ubongo wako utakumbuka kuwa wew umesha wai kufanya hivyo na ukisha peleka zile kumbukmbu kwenye nafsi yako bas huna kipingamizi utafanya tu kwasababu nafsi huwa haidanganyi bali wewe ndo unakuwa unaidanganya nafsi yako ndomana unakuta watu wana jinyonga, wengine wana jitupa magorofan n.k
jiepushe sana na "LAPPEL DU VIDE

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages