SNAKE ISLAND" hiki kisiwa kinapatikana brazil katika bahari ya atlantic..jijini sao paulo katika municipal ya peruibe..unambiwa hiki kisiwa kina ongoza kuwa na nyoka wengi zaidi dunian..aina ya "PIT VIPER' na kalibia nusu ya ardhi yake imefunikwa na nyoka ..na endapo kama uka fika huko ndani ya dakika moja unauwezo waku ona nyoka zaidi ya 1,000 na kibaya zaidi hao nyoka ni moja kati ya nyoka wenye sumu kali sana duniani..kwahiyo kufanya watu kushindwa kukanyaga ardhi hiyo... una ambiwa utalii unaofanyika huko ni wa kutumia ndege na maputo tu....kitu ambacho kimefanya kisiwa hicho kutajwa kama ni moja kati ya sehemu za hatari zaidi duniani na hairuhusiwi kwenda
Kisiwa Chenye Nyoka Wengi Zaidi wakutisha Duniani!!
STORY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment