Haskell Free Library and Opera House;
Kuna jengo katika mpaka wa Marekani na Canada lenye ukumbi na maktaba. Jukwaa la ukumbi lipo Canada, sehemu ya watazamaji ipo Marekani. Milango ya kuingilia ipo Marekani, Canada kuna mlango wa dharura wa kutokea.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment