Je, Wajua? Ethiopia ina kalenda yake yenyewe.

Mwaka mpya wa Ethiopia ni tarehe 11 au 12 Septemba ya katika kalenda ya kawaida. Mwezi mmoja una siku 30, kisha kuna siku 5 au 6 za nyongeza kukamilisha siku 365/366.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages