JAMES ANTONY SULLIVAN

mnamo mwaka 1969 mwana muziki aliekuwa aki itwa JAMES ANTONY SULLIVAN ali record albumu yake ilio kwenda kwa jina la U.F.O(undefined flying object),katika hiyo albumu kuna nyimbo ambayo lyrics yake ili kuwa akisema " miaka kadhaa iliyopita ni liikacha familia yangu bada ya kuchukuliwa na ALIENS na kupelekwa jangwani" ..
👉baada ya mwezi kupita JAMES ANTONY SUVILLIAN ,alienda kituo cha polisi na kuomba msaada akisema ALIENS wanataka kuchukua maisha yangu..ambapo alinukuliwa akisema kuwa wamempa ONYO kwamba asitangaze ..lakini polis wali mpuza na kumwona kama mtu anae tafuta kiki kwasababu walikuwa hawa amini stori za aliens. 👉Miaka sita baadae JAMES TONY SULLIVIAN alipotea ,na baada ya kumtafuta walikuta gari lake likiwa limetelekezwa Jangwani huko mexico bila JAMES TONY...mpaka leo hii haijulikan mwana muziki james tony amepotelea wap?? ila wapo wanao amini itakuwa alichukuliwa na aliens... ✨✨✨MWISHO✨✨✨

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages