Unambiwa zaidi ya watu 2000 duniani kwote wame tokewa na huyu mtu kwenye ndoto..ambapo anapo kutokea anatoa ishara ya kukupa onyo..
mtu wa kwanza kutokewa na huyu alikuwa ni mgonjwa mnamo mwaka 2006 huko new york marekani na baadae mtu mwingine nae alitokewa na huyu mtu ...
mpaka kufika mwaka 2015 alikuwa tayari kasha tokea watu 2000 watafiti wamejaribu kufanya tafiti na ambapo wakaja na maswali meng kuhusu hii picha ambapo baadhi waliamin atakuwa ni mtu ambae anafanya hivyo kwa malengo fulani..huku baadhi ya dini wana sema itakuwa ni mungu mwenyew ambapo anawaonya watu, kupitia hiyo piacha ... hii ishu ni ukweli kabisa ukitaka kuamin nenda ata youtube,pia google ka google the man appear in dreams at night utapata maelezo yote.
Inaaminika huyu jamaa amewatokea watu wengi zaidi kwenye ndoto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment