Historia ya "ANUNNAKI"


- Anunnaki ni viumbe ambao siyo binadamu ambao wali itembelea dunia miaka mingi sana iliyopita na kuja kuwafundisha wanadamu mambo mengi sana ambayo hayakujulikana kabla na mwanadamu.
Kuna dhana na Nadharia Nyingi Sana ambazo zina waelezea Anunnaki Huku kila dhana ikitoa maelezo yake na huku nadharia nyingine Zikiwa zina fanana, -
Wakati Naongelea Atlantis nilisema kuwa malaika waasi walikuja na kuwafundisha wanadamu elimu ambayo hakuwa nayo.Walikuja na ujuzi wa hali ya juu sana na kusababisha mwanadamu awe na maendeleo ambayo yalishangaza sana.
Jambo hili linafanana sana na ishu ya Anunnaki na kuna nadharia inayo wahusisha Fallen Angels Na Anunnaki, Ingawa Kuna Nadharia Nyingine hazi elezi hivyo tuta ziona huko mbele. -
Zipo Nadharia Mbali Mbali Kuhusu Anunnaki, Kwa wale ambao ni wapagani kwa wakati ule waliwaita Miungu kwa kuwa hawakujua walipotoka,lakini pia waliabudiwa na ndipo ilipokuja dhana ya "gods" yaani miungu kwasababu walikuwa wengi. Sio hao tu, hata wale watoto wao waliowapata baada ya kuingiliana na wanadamu wanawake nao walikuwa wakiabudiwa.
Anunnaki walikuja duniani na walishukia mlima Hermon na leo kwenye kilele cha mlima huo kuna base ya UN
Kuna dhana tofauti tofauti kuwahusu hao Anunnaki.
Kwa mfano Zacharia Thitchin aliwaeleza kama viumbe waliofuata madini ya dhahabu duniani na ndiyo waliokuja hapa na kwakuwa walihitaji nguvu kazi kubwa walitengeneza binadamu ili wawasaidie kuchimba dhahabu na ndipo baadaye binadamu walisaidiwa na baadhi ya Annunaki ambao hawa kupenda binadamu kufanyishwa kazi.
Michael Tellinger naye ana dhana yake, Dhana ni nyingi sana lakini hazileti mantiki sana.
Ni kweli Anunnaki ndiyo walio mfundisha binadamu matumizi ya madini mbali mbali na hata kule Afrika kusini yalishagundulika machimbo ya madini ya kale sana ambayo yali washangaza wengi.
Viumbe Gumzo kwa sasa Dunia Ni ALIENS ambao Kuna Nadharia Zina Eleza Aliens Ni Moja kati ya Viumbe Jamii Ya Annunaki.
Sehemu Inayo Fuata Nita eleza Nadharia Nyingine Kuhusu Anunnaki na sehemu Yaliyo Fikia Na kuishi Hapa Dunia Na sehemu walizo pita
Kuna Nadharia Inataja Sayari waliko tokea nayo tutaiangazia.

Ina sadikika Sumerian Civilization ndiyo Ustaarabu wa kwanza kuwahi kutokea duniani kati ya mwaka 4500 - 2000 BC katika Eneo la Mesopotamia. -
Vitabu vya Historia havina uhakika wa mahali "Sumers" walikotokea. Hata hivyo, Mtafiti Zecharia Sitchin, "The Earth Chronicles" cha mwaka 1976, alitafsiri maandishi ya mungu (god) wa Sumers aitwaye Enki. -
Enki ni mtoto wa Anu, Mfalme wa Sayari ya Nibiru aMbayo Kwasasa ina Fahamika kama Planet x. Annunaki ni Viumbe miungu kutoka Sayari ya Nibiru waliokuja duniani kwa lengo la kuchimba dhahabu kwa ajili ya kukarabati Anga ya Sayari yao ya Nibiru. -
Nibiru inaelezwa kuizunguka Jua kila baada ya miaka 3600 (ya duniani).
Kwa kuwa walihitaji wafanyakazi wa kuchimba madini hayo, Enki aliwaaumba Viumbe wanao fanana na wanadamu kwa sura yao ili wawa tumikie baadhi Yao Ndio Hawa ALIENS. -
Kilichotokea ni kuwa, walianza kuoa wanadamu waliowaumba na hivyo kusababisha watoto wao kukataliwa na jamii ya Wanibiru.
-
Annunaki ndiyo walijenga mapiramidi wakisaidiana na watoto wao ambao walikuwa Nephilims. Hao hao ndiyo waliojenga miji mitano ya mwanzo Marekani kwa line moja ikiwa sawa na line ya yale mawe maarufu huko Britany yanayo julikana kama "Stone age".
Kuna mengi sana kuwahusu hawa Anunnaki lakini kimsingi wengine Wana sema ina wezekana Anunnaki
Ndio wale fallen Angels. -
Kuna Maeneo Mengi Ambayo Yana Michoro Yenye kustaajabisha kwenye mapango kwa mfano michoro ya Aliens, michoro ya UFO, michoro ya Ndege (chopa) lakini Cha Ajabu wakati michoro ina chorwa Ndege zilikua bado hazija Gunduliwa.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages