Habari fupi ya wavuvi wapotevu waliompata mvuvi mpotevu baada ya Miaka 50.
Mwaka 2011, wavuvi wawili, Uein Buranibwe, 53, na Temaei Tontaake, 26, kutoka mji mkuu wa Visiwa vya Marshall, Majuro, katika bahari Pacific kusini, walipotea wakati wanarudi nyumbani usiku. Walikaa baharini siku 33 hadi walipotokezea kwenye kisiwa kidogo cha Namdrik (Namorik). Baada ya kufika wenyeji waliwachukua wakawapeleka kwa mtu pekee aliyekuwa anazungumza lugha kama yao katika kisiwa. Walipozungumza na mtu huyo waligundua kuwa ni mtoto wa mjomba wao ambaye alipotea pia baharini miaka ya 1950 wakati anavua samaki. Waliambiwa kuwa mtu huyo alifika katika kisiwa hicho miaka ya 1950 akaamua kuishi hapo na kuoa mwanamke wa kisiwa hicho. Hata hivyo mjomba wao alikuwa ameshafariki.
Habari fupi ya wavuvi wapotevu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment