GULF OF ALASKA . .
Maelfu Ya Miaka Yame Pita toka Watu Wa zamani Waanze kushuhudia Muunganiko Wa Hizi Bahari Mbili Zisizo Changanya Maji Yake . .
Sababu za bahari hizo kutokua na uwezo wa kuchanganya maji zina elezwa kama ifuatavyo kwanza ni Uwiano wa uzito wa maji (Densities)
Uwiano wa uzito wa haya maji ni tofauti kabisa ina elezwa maji ya bahari ya Atlantiki Wana asili ya barafu hivyo mara nyingi yana ganda na yana uzito zaidi, Sababu Nyingine ni Kiasi cha Chumvi baina ya maji ni tofauti sana, pia sababu nyingine ina elezwa ni elementi za maji ya bahari mbili zina tofautiana muundo wa kemikali na madini ya maji ya bahari hizi mbili ni tofauti tofauti.
. .
Bahari hizi mbili zina tofauti za Mazingira na Mzunguko wa maji pia vina ndani ya bahari hizi zina fotautiana. Wakati hali ya Pasifiki ni asili ya Joto Atlantiki yenyewe ina baridi kali. . .
Kwa mujibu wa Mfumo wa Taarifa ya Majina ya Kijiografia ya Marekani, Ghuba ya Alaska ina patikana kaskazini mwa pwani ya Alaska na kusini kwa mstari unao endesha kutoka mwisho wa kusini mwa Kisiwa cha Kodiak upande wa magharibi katika Dixon inayo ingia upande wa mashariki .
. .
Ghuba ya Alaska, mkondo wa Bahari ya Pasifiki, huendelea kando ya pwani ya kusini mashariki ya Alaska kutoka Peninsula ya Alaska hadi kwenye uwanja wa Alexander.
. .
Urusi na Alaska zime gawanywa na Strait ya Bering, ambayo ni umbali wa maili 55 . .
Ghuba ya Alaska Na mkondo wa Bahari ya Pasifiki,
STORY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment