Ghost/pepo na mchawi...

Ghost/pepo na mchawi... unambiwa kama unafuga mbwa na ikifika usiku kuanzia mida ya saa sita yule mbwa akiwa ana bweka sana ujue maeneo hayo kuna mchawi kwasababu mbwa ana uwezo mkubwa sana waku hisi harufu au kumwona mchawi. unambiwa endapo kama usiku ukawa umewasha mshumaa alafu ule mshumaa ukawa unawaka rangi ya blue au ukazima ghafla bila chanzo chochote kitacho ufanya uzime kama upepo bas ujue maeneo hayo kuna ghost/pepo. kitu usicho kijua sio kila ghost/pepo wote ni wabaya kuna pepo ambao ni marafiki na huwa kama akikupenda wew kiurafiki bas mda mwingi anakuwa karibu na wew .. kitu kingine usichokijua ghost/peo hana uwezo waku kuuwa sema yeye anakutengenezea mazingira ya wew kujiua mwenyew kama kukutisha...
unambiwa paka au mtoto mdogo ana uwezo mkubwa wa kumwona ghost usiku na ukimwona mtoto analia usiku kwasauti bila sababu ujue bas ghost/pepo alikuwa maeneo hayo na kamtisha uyo mtoto... kitu usichokijua mchawi na ghost/pepo huwa wanaogopa sana umeme au vifaa vyote vinavyo tumia umeme hivyo ukitaka wasikusogelee usiku lala kalibu na kitu chochote cha umeme kikiwa kimewashwa kama radio,sim,taa n.k hawata kusogelea..
ghost/pepo huwa na baridi kali kwasababu hawana damu hivyo endapo usiku utapita sehemu na kuhisi pana baridi kali sana ujue maeneo hayo yupo ghost. pia ghost/pepo wanapenda sana kuishi maeneo yale mazuri mfano chumbani,kanisani,msikitini n.k huaminika wana ishi sehemu hizo ilikutafuta hatima ya maisha yao. pia ghost/pepo ni rafiki sana wa mtu muoga hivyo hupenda kuwa karibu na mtu huyo kwasababu wanajua hana uwezo waku wafanya chochote...

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages