Galaksi(Galaxy); Ni Kundi kubwa la nyota nyingi ,zinazo shikamana pamoja katika anga la ulimwengu kutokana na graviti(nguvu ya mvuto). 👉Usicho kijua ni kwamba ,MWANGa(Light) ,unasafiri kutoka galaksi ya Miliky way, ambayo sisi tunapatikana ,kupitia nyota yetu Jua ,na sayari yetu ya Dunia, na kwenda katika garaksi ya Andromeda ,na kuchukua muda wa miaka ,2,500,000 ,mpaka mwanga huo kufika huko.
Kwahiyo ,unaambiwa , endapo leo hii ,unaangalia galaksi ya andromeda kwa kutumia vifaa kama telescope, basi tambua ya kwamba chochote utakacho kiona kule ,ni cha miaka 2,500,000 iliyopita ambapo mwanga ulianza kusafiri kutoka huku ,na kuelekea huko.
Au kama kwenye galaksi ya Andromeda ,kuna viumbe kama sisi, na wao ikatokea wana tuangalia sisi, basi jua ya kwamba hawata tuona sisi , bali wata ona viumbe vya miaka 2,500,000 ,iliyo pita ambapo mwanga ulianza kusafiri kuja huku kwetu. ✨✨✨MWISHO✨✨✨

No comments:
Post a Comment