Mwaka 1923, Frank Hayes alishinda mbio za farasi licha ya kufa katikati ya mashindano. Alipata mshituko wa moyo lakini mwili wake ulibaki juu ya farasi hadi alipovuka mstari wa kumaliza mbio.
Frank Hayes alishinda mbio za farasi licha ya kufa katikati ya mashindano.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment